Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mzeee haya madini huwa unachimba wapi
He! Hatari
Hahahaaa......Bro kuna vitu unaniambukiza kuhusu haya madubwasha
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Nampenda mpenzi wangu hadi najihisi kuumwa. Sijui kaniroga. Da! Adi raha! I love you so much my Kwezi.
Mimi sasa sijui itakuwaje...maweeee! Kila mtu anajua mi katibu wa CHAWAMITA na vurugu zangu nyingine humu halafu mtu unatokeza bonge la mtakatifu yaani hata dalili za haya mambo ya humu huna. Itabidi kujikaza kiume tu kwa sababu hakuna namna...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85] yaani hata sitamani wanione, maana nitaonekana mbaba wa hovyo hovyo nisie stahili Shikamoo hata ya ndotoni.... Natia huruma mie[emoji17] [emoji18] [emoji19] [emoji19]
Ila nitawapokea kwa furaha iliyo tukuka pamoja na ujinga ujinga wangu wa humu
Karibuni sana Kibamba [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mmmhhh mzeeee hatarrrr
Kwani deni?*Upo club unadance peke yako mdogomdogo.. Mara gafla kademu kana kusogelea kana kuangalia kana tabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kana kunong'oneza kwa skio yako "nipe elfu 3 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende kulala nawewe kwako" mwanaume huna kitu Mfukoni, kwa M pesa wala Mshwari lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka, unashukuru sana ila......After 2mins kanarudi na power bank*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndipo utajua kwa nini idd Amini alikua wakiume lakini akaitwaa dada
Hawa wameuheshimu huu mti na kutoukata lakini barabara ikapita hapo hapo, lakini mkurupukaji alishindwa kuheshimu jengo la Tanesco!!!