Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haya madini ni ya wapi toa address
Na wewe tenaa???Bro kuna vitu unaniambukiza kuhusu haya madubwasha
Bosss basi maan daahhh mnala ni 4g
Nikikupa address then I will have to kill you [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya madini ni ya wapi toa address
Mji gani huo?Umenikumbusha siku ile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..... Tutaitafuta tena mji huo huo
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo siku waweza cheka hadi ujuteHahahahhaaa
Ila mkionana kikweli kweli tena wote wanne au watano lazima mchekane kwa haya mnayoyaandika humu hayataendan na sura zenu hahahaaa
Usiojulikana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mji gani huo?
Hawa wajinga sana,wapuuzi sana hawa jamaa
Nobody is safe...Na wewe tenaa???
Haki ya nani[emoji23][emoji23]
Ni wa ovyoHawa wajinga sana,wapuuzi sana hawa jamaa
Mfyuuu zao[emoji57][emoji57]
Heeee!!umeanza[emoji85] [emoji85] [emoji85] yaani hata sitamani wanione, maana nitaonekana mbaba wa hovyo hovyo nisie stahili Shikamoo hata ya ndotoni.... Natia huruma mie[emoji17] [emoji18] [emoji19] [emoji19]
Ila nitawapokea kwa furaha iliyo tukuka pamoja na ujinga ujinga wangu wa humu
Karibuni sana Kibamba [emoji120] [emoji120] [emoji120]