Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh jaman ushaanza hahaha SHIMBA YA BUYENZE njoo uoneee
Misambwanda jamani. Kuitazama tu ni burudani tosha hapa duniani. Wengine eti huangalia mamilioni ya nyota huko juu ili kuuona utukufu wa Muumba wetu. Mi nikiona msambwanda wa ukweli basi tosha kabisa. Ni uthibitisho kamili kuwa kuna Muumba kwa sababu evolution na upuuzi wake wa nachuro selekisheni kamwe hauwezi kupurodyusi maajabu na burudani kama hiyo....
 
Hahahaha na mnavyojua kujieleza sasa haha
 
Ukiwa na magari ya kutosha lazima ujengewe barabara. Una ndege moja tena ya jeshi, viwanja vya nini?
 
Hii inafaa waijue madaktari walio tayari wagonjwa wao wapoteze maisha ili tu wao wapate $ 2'200/
Huwezi kuwalaumu madaktari. Wao ni zao la mfumo uliopo na siyo haki kuwasonga wao katika hili. Kama wanasiasa wanachukua mamilioni, kwa nini mtu muhimu kama daktari asilipwe vizuri? Fyeka mishahara ya mianasiasa, waongezee madaktari na walimu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…