Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
My hero? Heroes never cheat...Nampenda kwa jinsi alivyo na anavyojichukulia but I don't like his cheating ways na kocha wake Belichik. Akifungwa kesho nitakunywa mvinyo mwekundu wenye 26% ABV....[emoji15][emoji15] Tom Brady is your hero/boy! Akalishwe chini tena? Ila inawezekana, wale JX walizembea tu! Wangewatoa kabisa hawa Patriots!
Huku kwema ndugu yangu. Kibamba mnasemaje? Viwanja vinapatikana huko nije tuwe majirani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwaka huu tutakoma nao.
Habari ya wewe shemeji[emoji120] [emoji120]
Itakuwa vigumu kuelewa hapa bila muktadha hasa wa hoja zenyewe. Nitakwenda huko baadaye.Kwamba kazi yake kusafiria tu baada ya hapo haina umuhimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Siberia!!! Nipo zangu Mwakaliliiiii[emoji1][emoji1][emoji1]... Huku kwema kabisa bhana, tunamshukuru Muumba! Mambo vipi, uko Siberia? Nasikia unalalamika kipupwe! Tujuzane aisee!
My hero? Heroes never cheat...Nampenda kwa jinsi alivyo na anavyojichukulia but I don't like his cheating ways na kocha wake Belichik. Akifungwa kesho nitakunywa mvinyo mwekundu wenye 26% ABV....
26%eeh??[emoji23][emoji23][emoji23]My hero? Heroes never cheat...Nampenda kwa jinsi alivyo na anavyojichukulia but I don't like his cheating ways na kocha wake Belichik. Akifungwa kesho nitakunywa mvinyo mwekundu wenye 26% ABV....
Nayatamani hayo madude[emoji39][emoji39][emoji39]ila yasiwe yameiva sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Siberia!!! Nipo zangu MwakaliliiiiiView attachment 689876View attachment 689877
Huku ni kwema kabisa. Karibu sana,vipo,sitakiuza changu hadi uje ukioneHuku kwema ndugu yangu. Kibamba mnasemaje? Viwanja vinapatikana huko nije tuwe majirani?