Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unacheza muziki??
Me nitaomba mrejesho wa jinsi ulivyotambaa baada ya kugida mvinyo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wenyewe mko kibarazani
andjul;SYB hivi umeona ule msambwanda pale
SYB;Achana na huo sasa,cheki ule pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]majirani

Ngoja nikalale mie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tulikuwa tunafanya hivyo Temeke miaka ile. Halafu ghetto lenyewe lilikuwa karibu na baa. Kulikuwa na misambwanda na mamiguu ya kila aina...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…