mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mzee wa ku download madolaGood morning Carba
Mkuu mambo yako haya bado hujaacha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hila yuko bomba sana
Washatengeneza madola ya kutosha haijalishi nani kapigwa ndio uzuri wa ngumiI am gonna kick yo azz....
Nzuri my princess niko poa niliwamiss sana humu Leo full kujiachiaMzee wa ku download madola
Habari ya kupotea?
MkuuHata hivyo msishangae sana, kuna baadhi yetu Uzi huu uliwaweka mahali pabaya, maana walikuwa wanapatikana hapa 24hrsx7. Hilo halikuwa jambo zuri. mkumbuke kuna maisha nje ya uzi huu
Goddess ISIS nitamrudisha huku muda si mrefu nilipo yupoHakika ISIS amekuwa mnyonge akipita pita huko, sijui amepatwa na nini mtu wetu
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
BAK niaje mkuuNipo Mkuu huku huwa nacheka sana, najifunza mambo mbali mbali ambayo nilikuwa siyajui Mkuu. Huu tunauita uzi Mama wa JamiiForums.
AMUN RAHaya maisha haya, acha kabisa yaani! Huyu nae ni mwana wa Mungu, kama ilivyo wewe na mimi! Lakini kwa nini yeye awe katika hali kama hii, na sio wewe na mimi? Namshukuru sana Mwenyezi Mungu, kwa bahati ya uhai na maisha niliyonayo! [emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo jamaa alete mrejesho,[emoji3] [emoji3] mkuu ujue zamani zile TMK tungemfanyia hiviili tuone mtanange kwa macho yetu. Hiyo ni vita ya iii ya Dunia[emoji3] [emoji3]

Doggy style [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Numbisa Doggy Style ndiyo nini!? 😡
Good morning Demiss
Yego kumbe wewe ni MC hahahahaha tuliwapiga kichapo cha mbwa mwiziNi kweli, rafu za kipuuzi zilikuwepo! Ila hatuna presha bhana, ubingwa all the way! Hapana chezea MC! [emoji23][emoji23]
Mzee wa man u yupo kweli sijakutana na post yake hata moja 24 hrs nowOoh kesho kumbe imefika
Hawa jamaa hatari hatari sana walitupiga hata sisiMimi siku hizi nawapenda Swansea bhana, bado wako kwenye hatihati lakini sikutegemea kama wangejinasua kule mkiani! [emoji1][emoji1][emoji1]
Karibu tenaNzuri my princess niko poa niliwamiss sana humu Leo full kujiachia
Mungu ni mwema ndugu yanguMkuu niaje habari za masiku