Unaweza kuweka mafaili ya aina yoyote ambayo si hatarishi kwenye hifadhi pepe. Pia unaweza kucheza muziki, muvi, picha na midia yoyote popote unapotaka.
The Super Blue Blood Moon: The term “Blood Moon” is used to describe a total lunar eclipse, because it causes the Moon to turn a dark reddish color. This happens whenever the Earth passes directly between the Sun and the Moon, and the Moon falls into our planet’s shadow, or umbra. The Moon doesn’t go completely dark, though: the Sun’s light still manages to shine onto the lunar surface, but it will appear mostly reddish-orange, thanks to a phenomenon known as “scattering.”
Hifadhi hii inakurahisishia maisha na kukupa uhuru wa kutobeba vitu pale unaposafiri. Pia, inakuondoa wasiwasi pale unapotaka kupata nyaraka za msingi, pale ambapo haukujitayarisha.
Unaweza pia kuwa mtu ambae una vitu vingi vya kushirikisha watu na unahitaji kutuma hivyo vyote kwa wakati mmoja bila kutumia muda mwingi. Mambo yote haya yanasuluhishwa na hifadhi-pepe. Huu ndio uhondo wa teknolojia!
Huduma za hifadhi ya bure ni nyingi na ili unufaike zaidi inabidi uchunguze kidogo nini unachotaka na vipi ambavyo hifadhi hiyo itakupa uwezo zaidi, kwa mfano,
Huduma za hifadhi ya bure ni nyingi na ili unufaike zaidi inabidi uchunguze kidogo nini unachotaka na vipi ambavyo hifadhi hiyo itakupa uwezo zaidi, kwa mfano,
Google wanakupa GB 15 za kuhifadhi vitu vyako huku ukiwa na uhuru wa kuitumia pamoja na anuani yako ya barua-pepe, Muvi za Playstore na pia kitumi chako cha Android papo kwa hapo
Pia, unaweza kuandika na kuhariri nyaraka zako popote ulipo hata kama hauna MS Office. Hili ni jambo la faida kwa watu wanaofanya mambo ya kiofisi zaidi na watumiaji wa vitumi vya Android.
Kila kitu kina Kasoro
Kitu kubwa kinachokwamisha hifadhi-pepe ni usalama na faragha. Wataalamu wengi wa masuala ya kidijitali wanatilia shaka matumizi ya hifadhi-pepe, hasa kwa umma ambao wengi hawajui madhara ya kupuuzia faragha.
Wiki chache zilizopita mastaa kadhaa walipata shida na hifadhi pepe ya i-cloud pale mahaka walipoingia kwenye akaunti zao na kuiba na kuanza kuzisambaza picha binafsi za mastaa hao mtandaoni.
Pamoja na hayo, watu wengi wanatumia huduma hizo na zinaendelea kuwa na umaarufu sana. Ni muhimu zaidi kujua kwamba, kutumia huduma hizi za bure zinahitaji uamuzi makini wa vitu utakavyoweka.
Ni vyema kujiwekea sera ya kwamba kitu chochote nyeti na chochote cha faragha kama picha, sauti na video hakifai kuhifadhiwa mtandaoni kwa namna yoyote hata kama kitu hicho kilitumwa mtandaoni.
“I wanted to tell her that she was the first beautiful thing I had seen in three years. That the sight of her yawning to the back of her hand was enought to drive the breath from me. How I sometimes lost the sense of her words in the sweet fluting of her voice. I wanted to say that if she were with me then somehow nothing could ever be wrong for me again.”
Katika moja ya maswali ambayo kwa zaidi ya miaka miwili tumekuwa tukiulizwa ni kwa namna gani mtu anaweza akazuia kabisa matangazo yasijitokeze anapoperuzi kupitia simu rununu.
Limekuwa jambo la karaha na wakati mwingine kufedhehesha pale unapoperuzi ukijaribu kutafuta hiki na kile mtandaoni au umefungua app fulani na ghafla tu unaona tangazo kuhusu kitu fulani mele ya uso wa simu yako; ni kitu ambacho kwa maoni yangu kinapoteza umakini wa kile ulichokuwa unakifanya kabla ya tangazo hilo kujitokeza.
Kwa wasiofahamu basi mfahamu leo kwamba tangazo lolote linalojitokeza bila ya kutarajia au linabadilika badilika ni matangazo yaliyo chini ya Google (Google Ads) kwa mantinki ya kumuingizia kipato yule ambaye tangazo hilo limejitokeza kwenye tovuti yake.
Wakati mwingine yule anayetangaza ile biashara yake huwa analipa kiasi fulani cha pesa ili basi tangazo lake liweze kuonekana mara nyingi, bidhaa yake kuweza kujitangaza vyema na hatimae kufahamika hitisho likiwa ni kupata wateja.