Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niliacha kuangalia BONGO MOVIE tu pale demu alipopigwa risasi ya kichwa akiwa anaendesha gari huku akiwa katika speed kali sanaa af akapunguza mwendo akapaki pembeni ndo akafa[emoji3][emoji23][emoji16]
Sasa ujakutana na kisa jini anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia au majambazi wanakwenda kuvamia nyumba wanavua viatu nje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…