Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi ni RC kwa kweli hii imenisikitisha sana double standard ya hali ya juu
Umesahau fweza za kashfa zilivyotishia kulidharirisha kanisa mkuu baada ya benki yake kutumika kugawia walengwa ikiweno na viongozi wa dini husika?. Taasisi za dini haziko salama, miaka kadhaa iliyopita mashekh walienda kumzika waziri mstaafu aliyejiua ili hali dini imezuia jambo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…