5. Ishi kwa ukweli.
Ukweli ni moja kati ya njia zinazoweza kukufanikishia malengo yako. Kuwa mkweli kwako mwenyewe, huwezi kufanikiwa ilhali unajijua ni mvivu, mzembe, huna bidii au huwajibiki na maisha yako .unayo kila sababu ya kubadilisha mwelekeo wa maisha yako. Ikiwa hujaridhika na maisha uliyonayo sasa huu ni ndio wakati wa kubadilika kwa kuanza kutafuta maisha mazuri utakayo.
6. Kubali mabadiliko.
Kuwa mwepesi kubadilika, mara nyingi njia za mafanikio hutofautiana kwa mtu na mtu licha ya kuwa kuna zile tabia za mafanikio ambazo ni lazima kila mtu awe nazo. Usiwe mtu mwenye mawazo mgando, badilika kulingana na ukweli wa mambo unavyokutaka nini ufanye ili ufanikiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiiiiNimechuchumaa namuangalia anavyopiga deki...
Akili zangu zinajitegemea zenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] siwezi,yanakuhusuNing'ate sikio shemeji yangu wa faida
Mnaongelea nini[emoji38][emoji38]
Nitarudi wakati wo wote nitakapopenda. Uhuru mtamu ati ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usepe!! Unakatisha maongezi? Au ndio utarudi muda pendwa?..
Nitarudi wakati wo wote nitakapopenda. Uhuru mtamu ati ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni lazima niende. Vishawishi nitavishinda...nadhani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanikimbia??[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ila..........[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Halafu unajipeleka kwenye vishawishi na unataka uombewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu nianze maombi hakuna namna