Ila sema ule ukweli huyu mama usipitwe angekaliwa kimya bado angeendeleza chokochoko. Ile picha sheikh alikua msiban ina maana ukienda msiban ubague wa kukaa nao?mbona lowassa kaenda kuongea na maguful hajamtukana kihivyo. Nataman niione siku huyu mdada akidakwa na kurudishwa bongo moja kwa moja gerezan imetosha sasaNi aibu tu yaani. Shehe wa watu angejua pengine angejikalia kimya tu. Kupambana na huyo mama tena mtandaoni ni kuendelea kujishushia heshima tu. Inabidi uwe na moyo wa chuma kama Le Mutuz.
Tatizo ni Mmarekani na hawatamgusa. Nadhani analipwa kwa haya mambo anayofanya. Na ana wafuasi wakereketwa kweli kweli.Ila sema ule ukweli huyu mama usipitwe angekaliwa kimya bado angeendeleza chokochoko. Ile picha sheikh alikua msiban ina maana ukienda msiban ubague wa kukaa nao?mbona lowassa kaenda kuongea na maguful hajamtukana kihivyo. Nataman niione siku huyu mdada akidakwa na kurudishwa bongo moja kwa moja gerezan imetosha sasa
Hahahahahahhah kweli kufa ndo mwishoKumba wajua kuna mwisho wa uhai?
Ndio kufa kwenyewe eti