Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahhahaa hapo alipo tu anaushukuru uzi wetu pendwa kila dakika,natumaini keshachapisha avatar zetu katubandika sebulen weueweee chezea mnyakyusa orijino
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tokaaa

Hakika kusema ukweli afya yangu imeimarika sana kutokana na upendo ninao upata hapa.
Mungu aendelee kuwatumia nyie kwa ajili ya kuwaliwaza walio vunjika moyo kutokana na ya dunia.
Mubarikiwe sana[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…