Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kijiko kimoja cha unga wa mahindi kina calories 120. Sasa fikiria ugali ule wa Kisukuma mpaka mtu ukashibe unakuwa na calories ngapi? Tena zote ni carbohydrates tupu....Hadi ugali??
Hajui kama ndo umekukuza huo??
Pole
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]ananenepa maini na bandama nafikiri[emoji23][emoji23][emoji23]
yaani ka mimi,kwa siku nakula hata mara 6(small meals)ila sijui chakula kinaenda wapi aiseeh!!
Itabidi nifanye uchunguzi nijui mahala chakula kinaenda maana si kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa natania
Nataka nikusemeleeAbee cole,nimekuja kwa niaba ya jakito
DuhIko siku Tu
Kama kuna kitu sikipendi kwa mwanamke ni haya mawigi. Ningekuwa rais aisee nayapiga marufuku kabisa...!!!Usitumie moto ku-style au kukausha wig lako
Kama ilivyo katika nywele zako mwenyewe, kutumia moto katika nywele kunaweza kuharibu nywele. Ikiwa una wig la synthetic, joto kutoka kwenye chuma cha curling au hair dryer linaweza kusababisha wig kuyeyuka. Ikiwa hujui jinsi ya kutengeneza wig lako, nenda salon wa kusaidie kufanya mabadiliko unayotaka. Kidokezo
Si nyie siku hizi mwaona huo ndo urembo[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ulikuwa hujaniambia? Au ni ile kauli yako kwamba tembo ni wazuri kuwaangalia wakiwa mbugani na siyo up close and personal? Weweeee !!!
Nataka nikusemelee
Na mimi natania vile vile (ezi yujo !!!)ananenepa maini na bandama nafikiri[emoji23][emoji23][emoji23]
yaani ka mimi,kwa siku nakula hata mara 6(small meals)ila sijui chakula kinaenda wapi aiseeh!!
Itabidi nifanye uchunguzi nijui mahala chakula kinaenda maana si kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa natania
Sasa unakula chakula cha aina gani?Kijiko kimoja cha unga wa mahindi kina calories 120. Sasa fikiria ugali ule wa Kisukuma mpaka mtu ukashibe unakuwa na calories ngapi? Tena zote ni carbohydrates tupu....
Hahhahaa starehe za watu hizo. Wigi zinaongeza mvuto bana. Kuna binti muigizaji isidingo anavaa wigi yupo very beautiful ila in real life anapendelea nywele zake duh ana komwe kubwa kumzidi zari yaan naona bora angeendelea kuvaa wigi kama tunavyomuona kideonKama kuna kitu sikipendi kwa mwanamke ni haya mawigi. Ningekuwa rais aisee nayapiga marufuku kabisa...!!!
Unishindi mmKama kuna kitu sikipendi kwa mwanamke ni haya mawigi. Ningekuwa rais aisee nayapiga marufuku kabisa...!!!
Sio mimi eeeehe sio mimiSi nyie siku hizi mwaona huo ndo urembo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwanini huwa hamuyapendi?Kama kuna kitu sikipendi kwa mwanamke ni haya mawigi. Ningekuwa rais aisee nayapiga marufuku kabisa...!!!