Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwee mweee hahahaha
 
Nimeshaweka kabisa hapa kwenye rekodi yangu. Mwaka 2007 wakati mi namalizia shahada ya ******* Numbisa alikuwa High School...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2007 shahada?
Me ndo niko kindagateni uuuwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shkamooo shemeji
Sasa itabidi nianze kuwa na adabu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…