Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bora yEye mimi kila siku hapa najisahau nataka ni upload lipicha langu kama masoud sura mbaya sijui kama mwaka utaisha salama huu
Kuna siku malkia wetu wa uzi alirusha picha yake halisi laivu humu na kumtag prince wake Mzee wa Ini lakini nashangaa hakuna hata mmoja aliyeipakua. Kujiripua rukhsa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…