Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jamaniiiii !!!!View attachment 693541 View attachment 693542 View attachment 693541 Mbona hao wanawake wengine wenye misambwanda wanafana na hawa
Copyright walahi!
Ndiyo farasi alivyo!Jamaniiiii !!!!
Farasi wa aina gani hawa?
Upone haraka shemejiWapendwa. Leo lazima nikiri kuwa ilikuwa siku nzuri sana. Mpaka Numbisa leo kaweza kuchati tena kwa muda mrefu. Asanteni sana na binafsi nimefurahi sana. Ikitokea kukawa na ye yote aliyekwazika basi tusameheane na kusonga mbele. Binafsi sijisikii vizuri kuanzia juzi na nipo humu kujibaraguza tu lakini naendelea na dozi. Inabidi sasa nilale japo bado saa 10 jioni. Mungu Akipenda tusemeshane tena kesho au mida ya wanga usingizi ukiniishia. Tumshukuru Mungu daima [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mambo ya Novida ayo
Nick[emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 693541 View attachment 693542 View attachment 693541 Mbona hao wanawake wengine wenye misambwanda wanafana na hawa
Copyright walahi!
NISHAPONA. Ndo nimetoka jogging. Dozi nilimalizia jana. Thanks for caring....Upone haraka shemeji
Mungu akufanyie wepesi
Kwani mnashindwa kuoa sababu ya mahari??[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818]
Wacha weeeeMambo ya Novida ayo
You go girl. True happiness comes from within. Trying to find it from external stimuli and emotions is futile.View attachment 693556[emoji123] [emoji123] [emoji123]
Indeed. With that colorful blue hue, what can go wrong?It's a beautiful dayView attachment 693555