carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Shwari,habari ya weweNiaje lakini bibie?
Mh!anaonekana ni mkali wa.........Banana is good for your health
Hahahaha nimekoma kufunguka mie,ila nililia na vile tulikua tunadanganyana darasani ati nyerere akifa idd amin atakuja kuanzisha vita kuuubwaaa. Weee ile saa tunapata taarifa kafa tuliliaaaa kila mmoja kabeba begi tayar kwa kukimbia vita ikija hahahhaahah
Mh!anaonekana ni mkali wa.........
Hahahaha nimekoma kufunguka mie,ila nililia na vile tulikua tunadanganyana darasani ati nyerere akifa idd amin atakuja kuanzisha vita kuuubwaaa. Weee ile saa tunapata taarifa kafa tuliliaaaa kila mmoja kabeba begi tayar kwa kukimbia vita ikija hahahhaahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mlibeba mabegi tayari kwa kukimbia...Hahahaha nimekoma kufunguka mie,ila nililia na vile tulikua tunadanganyana darasani ati nyerere akifa idd amin atakuja kuanzisha vita kuuubwaaa. Weee ile saa tunapata taarifa kafa tuliliaaaa kila mmoja kabeba begi tayar kwa kukimbia vita ikija hahahhaahah
Mkuu kwema? Namshukuru Mungu kwa kuonana tena.
[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wa kula ndizi eeh! Kwani weye MD hupendi kula ndizi? πππ
Kwema boss, Mungu mwemaMkuu kwema? Namshukuru Mungu kwa kuonana tena.
[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahahah lol! There you go running away from my question. Ila kuna watu wanakula ndizi banaa wanaweza kumaliza nusu Mkungu πππ raha sana aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee ni tatizo sanaNdugu Andjul mara baada ya kukutwa ana...ana...