Na wewe ulikuwa wapi?[emoji124] [emoji124] [emoji124] labda la 5A akiwa amebeba fagio na kidumu
Nitawaonea wivu madaktari mwishowe niishie kutwangana nao tu. Afadhali tu wanidisichagi ili nikapambane na hali yangu nyumbani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio utazidi kuumwa ili ubaki hospital?
Job[emoji85] [emoji85][emoji125] [emoji125] [emoji125] buroo jo....
Nyusii...Salaaaaleeee!
More importantly, it is crucial to maintain eye contact while eating banana....Banana is good for your health
Huyu kakamilika 90% kwa ulimbwende!
Ulimwende ni nini?Huyu kakamilika 90% kwa ulimbwende!
Unabaki umesimama kwa butwaa kama unapimwa suti hahahaTattoo mwili mzima ukivua nguo ka ukuta wa choo cha shule ya msingi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ulimbwende=urembo..Ulimwende ni nini?
Jana aisee ilikuwa raha sana. Haitakaa itokee tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha nimekoma kufunguka mie,ila nililia na vile tulikua tunadanganyana darasani ati nyerere akifa idd amin atakuja kuanzisha vita kuuubwaaa. Weee ile saa tunapata taarifa kafa tuliliaaaa kila mmoja kabeba begi tayar kwa kukimbia vita ikija hahahhaahah
Hivi una make vipi eye contact na banana?More importantly, it is crucial to maintain eye contact while eating banana....
Kulingana na mahesabu ya jana, atakuwa ndiyo alikuwa ama anaingia darasa la nne au la tano. Tinejaz....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh! HayaHivi una make vipi eye contact na banana?
Ooppss!!kumbe unazungumzia "banana"[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yaan hatari hawafikirii maisha ya mbeleniNaam si unajua hawa viongozi wakiwa na jeshi hujisahau kabisa na kudhani watakuwa na jeshi for the rest of their lives. Hivyo hufanya uonevu, udhalilishaji na hata kuua raia wenzao bila hata woga.