Mmmh naanza kujumlisha sasa,kama dar umeishi miaka 20,mwanza je?Dar nimeshaishi miaka zaidi ya 20. We unazaliwa mi tayari naishi Dar. Matineja bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ule mkamatano bado unaendelea eeh?Mmmh naanza kujumlisha sasa,kama dar umeishi miaka 20,mwanza je?
Maandaeitini si ajabu mnashangaa. Hawa ni akina nani?
Ni cole na andjul siku wakionana 1976
Bado ndo kwanzaa kumekuchaaaHivi ule mkamatano bado unaendelea eeh?
Weuweeee hai 76!!!????Wewe unawajua hao kwenye picha? Kaone....
Kuna wahenga wachache sana katika uzi huu ambao tulikuwa hai 1976.....
Hahahahahhaa marahabaa andaeitinNyie si mlikuwa na haraka [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo nimemjua sylvester tu aka rambo,huyo mwingine utanisaidia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weuweeee hai 76!!!????
Jakitoo huyu sponsor usimuachie kabisaa
Full mabusara ya ukweli
Kwendraaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahhaa marahabaa andaeitin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi ipo kwa kweliNi cole na andjul siku wakionana 1976
Wakishapatana 2017