Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Halafu sasa vitu unavyoandika na jinsi ulivyo hapa mtu wala hawezi kudhani kuwa uko andaeitini aisee. Ndiyo maana kuna haja ya kukutana tuchambue mbivu na mbichi aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah bana,sijui kwann siku ile nilijichomesha uwiii najutaaa mieee
Nitaanzisha sredi yenye kichwa "Wahenga Tukutane hapa tutambuane" soon. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kwa sasa natafuta watoto mayatima watatu wa kusomesha. Kuwa sponsor kuna raha zake nyie acheni bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhaa wa nguvu
Yego bana. We ulishasema kuwa stori zako za zamani ni mshua alikuwa anakusimulia. Bakia tu huko na maandaeitini wenzio....Ilete bana tutambuane na kujikumbusha mambo ya enzi zetu! [emoji23][emoji23]
Safi sanaTena kwa sasa natafuta watoto mayatima watatu wa kusomesha. Kuwa sponsor kuna raha zake nyie acheni bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kwa sasa natafuta watoto mayatima watatu wa kusomesha. Kuwa sponsor kuna raha zake nyie acheni bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yego bana. We ulishasema kuwa stori zako za zamani ni mshua alikuwa anakusimulia. Bakia tu huko na maandaeitini wenzio....
Nina ka-NGO kangu ka moyoni mwangu tu. Huwa nahisi ndiyo wito wangu hapa duniani. Mungu Amekuwa mwema mno kwangu aisee (japo sina material wealth) [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hongera sana kwa hilo aisee! Hakuna kitu kizuri kama kumsaidia yule asiye na matumaini, unamtengenezea baadae ya matumaini!
Poa poa...Nitajitahidi ukumbi tuupambe kwa nembo za Pittsburgh Steelers na kila muhenga atakayehudhuria atapewa terrible towel moja na jezi kubwa ya Big Ben. Hapo vipi?Nitakuja na za mshua pamoja na zangu mwenyewe! [emoji23][emoji23]
Poa poa...Nitajitahidi ukumbi tuupambe kwa nembo za Pittsburgh Steelers na kila muhenga atakayehudhuria atapewa terrible towel moja na jezi kubwa ya Big Ben. Hapo vipi?
Bora nilivyokwepa duh yale mambo ya kusalimia shikamoo kila siku kwa daddy shimba(in jakito's voice)yangenishindaaaHalafu sasa vitu unavyoandika na jinsi ulivyo hapa mtu wala hawezi kudhani kuwa uko andaeitini aisee. Ndiyo maana kuna haja ya kukutana tuchambue mbivu na mbichi aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh sponsor wa ukweli.Tena kwa sasa natafuta watoto mayatima watatu wa kusomesha. Kuwa sponsor kuna raha zake nyie acheni bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah ipo tafuta kichwa cha habar kingine maana mods wataiunganisha na ya wahenga wa JFNitaanzisha sredi yenye kichwa "Wahenga Tukutane hapa tutambuane" soon. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]