Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d4432b01137490c31160a58580b0b4dd.jpg
 
Orodha iliyotolewa Ijumaa iliyopita na katibu mkuu Utumishi, Dk Laurean Ndumbaro inaonyesha kwamba watumishi watakaolipwa malimbikizo ya madai yao mwezi huu ni 27,389. Ilitolewa muda mfupi baada ya waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kuzungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma na kueleza kwamba Serikali imetenga Sh43.39 bilioni za madai mbalimbali yaliyohakikiwa yatakayolipwa pamoja na mshahara wa mwezi huu kwa watumishi hao.

Dk Mpango alisema fedha hizo zinajumuisha madai ya watumishi ya zaidi ya miaka 10 iliyopita na kwamba kupitia mfumo wa taarifa za kiutumishi na mishahara, hadi kufikia Julai Mosi mwaka jana kulikuwa na madai ya mishahara yenye jumla ya Sh127.6 bilioni kwa watumishi 82,111.
Shemeji. Na wewe umo kwenye orodha ya wanaolipwa malimbikizo yao? Nauliza kwa nia njema kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom