Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Si ajabu ndiyo waliiba teknolojia ya huko Misri ya kale hawa. Yaani ukiangalia documentary hizi mpaka mtu unashangaa aisee. Kuna nguvu za chini chini zinaendesha hii dunia aisee....Indeed
Dawa yake usiogope hata kimoja
Nyama kula mifupa tema
USA imejengwa na Freemasonry
Kuanzia Jesuit ambayo imeanza Vatican
Ni history nzuri sana maana hii mijitu ni genius walahi!
Yaani wanakuibia socks uliyovaa na wanakuachia kiatu bila wewe kujitambua!
I truly love and admire hawa watu kwa kweli!