Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliongeza kusema kuwa mwaka uliopita uhalifu wa ajabu ulitokea ambapo kuna watoto wadogo wa chekechea walitekwa na kuuwawa ambao hawakuwa na hata shida na mtu yoyote na wazazi wao ni watu wa kawaida kabisa je serikali ndio imehusika.

“Sisi tunaoshughulika na masuala ya uhalifu tunatafuta wahalifu wanaofanya msuala ya kihalifu, kuna watu wanaona ni ajenda ya kisiasa wakati sisi tuombea mtu apone” alisema Dr Mwigulu

DKt. Mwigulu ameongeza kusema kuwa je angeamua kuendelea kusema kuhusu kupigwa risasi kwa mwanajeshi masaki inauhusiano gani na shida za kata ya mitundulini, hivyo wananchi wa singida wawaadhibu kwa kuwanyima kura katika uchaguzi wa tarehe 17 mwezi huu.
Keshapata PhD ya Economics au katunukiwa ya heshima? UDMS au wapi?
 
fe3a0effefb9322a227e73eca9a80db4.jpg
Omwana
 
Ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga
Na utakuwa na furaha kwa sababu utakuwa umekufa kwa staili ile ile uliyoishi. Wengi huwa hatuna bahati hiyo....

Mtu uishi kwa upanga halafu ufe kwa maumivu makali ya kansa wapi na wapi? [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Hiyo mpya ina maboresho gani? Nili-update hii version ninayotumia kwa sasa na notifications zikapotea jumla mpaka leo. Aliyeinstall hii version mpya alete mrejesho tofauti yake na hii version ya sasa...
Mi naona ni yale yale tu sijaona kipya zaidi naona ile version ya zamani ndo nzuri kwangu.
Ngoja niendelee kuitumia nitakwambia.
Sema naona notifications ni shida bado,acha niipe muda.
 
Back
Top Bottom