Napenda kula mimi[emoji23][emoji23]Ukirudi niletee tu[emoji12][emoji12]Haki ya nani ningekuwa karibu hapo ningekuletea halafu nikuone itakuwaje. Tena kuna hizi wings spicy kidogo halafu hazijakauka sana laiiini za moto moto yaani ukitia jino mpaka unafumba macho aisee....
KarmaUkiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mama yangu anaioenda sana hii!
Indeed[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Shemeji. Na wewe umo kwenye orodha ya wanaolipwa malimbikizo yao? Nauliza kwa nia njema kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Orodha iliyotolewa Ijumaa iliyopita na katibu mkuu Utumishi, Dk Laurean Ndumbaro inaonyesha kwamba watumishi watakaolipwa malimbikizo ya madai yao mwezi huu ni 27,389. Ilitolewa muda mfupi baada ya waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kuzungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma na kueleza kwamba Serikali imetenga Sh43.39 bilioni za madai mbalimbali yaliyohakikiwa yatakayolipwa pamoja na mshahara wa mwezi huu kwa watumishi hao.
Dk Mpango alisema fedha hizo zinajumuisha madai ya watumishi ya zaidi ya miaka 10 iliyopita na kwamba kupitia mfumo wa taarifa za kiutumishi na mishahara, hadi kufikia Julai Mosi mwaka jana kulikuwa na madai ya mishahara yenye jumla ya Sh127.6 bilioni kwa watumishi 82,111.
mtoto wake nae anajitahidi kuwadunda wadada wenzeke..Ze necha boi...wuhuuuuuuuuuu !!!