mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Pamoja mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu BAK
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Good morning 2 bro
Good morning my dearHahahaha
AMUN RAMwenye Enzi Mungu akubariki mama yangu Tanzania kwa baraka zote
Translation pleaseMdumii nakuenengye mbora nakuringye. Mdumii naware kyam kyakye wuye yapfo nakusarie. Mndimii nairie kyaam kyakye wuye yapfo nakuenengye uforo. Rinenyi iya Ruwa Awu na Mana na Mumuyo Mweele
MAMA TANZANIA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Sasa umri ukienda si itabidi akae kwenye wheelchair walahi
Maana kubeba hayo mafuta si mchezo!
KK niaje mkuuHaka ka mtu kavivu Sana haya Leo Ni alhamisi. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Anakunyima nini [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ndipo nilipo njoo.
Sijambo Ila hiyo salam yako ya kuninyima kitu kwenda hilo.
HahahahahaHuyo mzee tapeli sana hapa mjini amepigwa mvua nyingi kwa utapeli wake
HahahahahaNdugu yangu umetoroka jela
AMUN RA...I AM...The name of God Almighty Himself...
I am blessed
I am healed
I am healthy
I am rich
I am loved
I AM.....
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
YapKakakuona...Bila shaka ana maana nzito katika ulimwengu wa Amun Ra...
AMUN RASana!
Ni ulimwengu wote
Wachina wajaribu kuwauwa na wengine wanaondoka nao!
Yaani sad!
Kila siku namwomba Mola hawa watu wote wanao wauwa wanyama wote kwa ajili ya utajiri waende wakafilisike wao na vizazi vyao milele yote tena wafe kabisa!
HahahahahaSi atakuwa na lisabwanda kama la mama yake?
Mama na mwanaWala...
Mtoto wa kiume hawi na msambwanda hata siku moja. Wa kike hapo sawa kama Sanchoka na mamake....