Amun RaAMUN RA
Na mimi nimeona.[emoji124] [emoji124] [emoji124]
The one and onlyISIS
Aisee... Hebu jenga umakini kwa hilo.Aisee, jibapa linaweza kuibua mambo mengine! Ila hii flu season hii huku ni kiboko! Imeondoka na watu wengi sana, hasa watoto! Nilizembea kupata ile flu shot baada ya kudhihirika kwamba, kinga yake ni 17% tu! [emoji23][emoji23]
InasikitishaMtoto anakuwa yatima mbaya sana utafutaji mwingine hovyo sana
Aisee... Hebu jenga umakini kwa hilo.
Pole sana
Anajifanya hajaona eti[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi amekujibu?
@Kichwa Kichafu sikuhizi sijui kawa mwanga anaonekana usiku wa manane tu[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]Mwite kichwa kichafu alisemee hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa liverAnajifanya hajaona eti[emoji23][emoji23][emoji23]
Amun RaThe same to u my dear
Hizi ajira zingine hizi.....unakuwa kama mtumwa vile@Kichwa Kichafu sikuhizi sijui kawa mwanga anaonekana usiku wa manane tu[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Mai kwini wake yupo ujue?Mzee wa liver
Mzee wa ini
Mzee wa data
Mzee wa Masaki beibiiii
Kamu zisi wei...carba izi "oni mai wei" beibiiii...
Acha tu ila ndo maisha,tutafanyaje.....Hizi ajira zingine hizi.....unakuwa kama mtumwa vile
"Kama unavyoona, mimi ni kimodo fulani hivi matata sana kutoka Dar. Namuulizia Mkerewe mmoja mtu wa makamo anayeendesha semina ya Forex hapa hotelini. Anaendesha Bentley ya kijivu hivi yenye milango mitatu..."Nikija niulizie nani[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kumbe na wewe ulishaliona hilo eeh...Andaeitini unavyo penda kubembelezwa na Carba huponi leo wala kesho....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] endelea kuumwa ili Carba akose amani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ISIS beibiiii[emoji108] [emoji108] [emoji108]Mai kwini wake yupo ujue?
Hawezi itika ataishia ku like tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja sana mambo niajeHabari za majukumu wanauzi