Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Kama unavyoona, mimi ni kimodo fulani hivi matata sana kutoka Dar. Namuulizia Mkerewe mmoja mtu wa makamo anayeendesha semina ya Forex hapa hotelini. Anaendesha Bentley ya kijivu hivi yenye milango mitatu..."

Utampata mara moja !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapi mzee wa data
 
Salamaleko kwa mpigo pale babangu! Mwenzenu haka ka “Flu” kamenikamata kweli kweli! Nashukuru tu Mungu naendelea vizuri. Nawatakia Ijumaa njema!
Flu season ya safari hii naona kiboko. Pole sana. Ni hatari sana kwa wazee na watoto. Kwa maandaeitini kama wewe labda ukiwa na matatizo mengine kama ya kifua na moyo. Otherwise ni inconveniences tu. Maji kwa wingi, Allegra D, home remedies, kupumzika na kubembelezwa na Carba vinatosha. Endelea kuimarika [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hahahahaaaaaa...yaani ile "shemeji kipenzi" na "oni mai wei" kwako ni faraja muruuua kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Kumekucha! [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…