Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana! PM nilitumia kipindi cha nyuma, tena na watu ambao bado tunawasiliana nao kwa namna nyingine! Very good friends of mine, good people! Na siku hizi wala siwaoni humu, wako busy na maisha yao! Siku hizi hata kunusa sinusi hiyo PM!
Inadaiwa PM zimevamiwa na nyenyere, siafu, mchwa na vijidudu kadhaa[emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…