ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ukweli mchungu....I agree
Mwakaleli. Si ajabu mpwa wa Andjul huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Kwa hiyo wakivuana nguo nyie mnapiga chabo tu, mnafidi![]()
Hugo masekela
Maluweluwe ya pwani. Eti watu wanatatuliwa marinda usingizini....Porojo..Popobawa
Safari siyo kifo!"Kinye kinye kisonzo Tisa kumi mangara" Mangara dance. Kibambe Ramadhani, Abdul Salvador, Kalala Mbwembwe, Kyanga Songa, Kasaloo Kiyanga. Miaka ya 80 na mwanzoni mwa 90, Iringa iliwaka moto hasa
1991"Weee mesenja":Max Bushoke
Mzee MakassiChini yake Dr Remy Ongala na mpiga solo mahiri Fan fan
Muumini Juma/Khadija Mnoga"Twanga Pepeta" Chini yake Ali Choki. Wapi Mango Garden