ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ccm kata ya 14Vijana jazz
Ccm kata ya 14Vijana jazz
Ndala Kasheba
Makonga AdiosMarquis du zaire
Mzaramo halisiMagoma kitakita, "Mwanaidi yote uliyoniambia nimesikia" sauti yake Muhidini Maalim Gurumo, mwana Masaki. RIP
MbarakaMoro jazz
Hahahahaha"Ashibaye" chini ya solo la Kassim Mponda. Acha masikhara bana. hiyo ni ndani ya Wami bar Mwananyamala 1985
Wapi yego"Rudi kwanza Jose nipate nafuu, mwenzio natesekaa, fanya huruma" Maliim Gurum na Solo la Abel Baltazar miaka ya 70 huko ndani ya Kibarua bar Ilala
Kin bougeWenga BCBG
Mia mia"Kinye kinye kisonzo Tisa kumi mangara" Mangara dance. Kibambe Ramadhani, Abdul Salvador, Kalala Mbwembwe, Kyanga Songa, Kasaloo Kiyanga. Miaka ya 80 na mwanzoni mwa 90, Iringa iliwaka moto hasa
Mapenzi kizunguzunguTshala Muana
Soukous starYondo sister
Komandoo huyuHamza Kalala Msukuma wa Tanga aliongoza vema bendi hii
MbongoeMayaula Mayoni
Ya morokaiPapa Wemba
Inde monieKanda Bongo Man
Tchaa tchooKofi olomide
Kimpa kisangameniFranco Lwambo