moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwakuwa mmekuja kuzisifia hapa tunalazimika kuzifakamia tu, hatuna namna[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kaka hizi mambo tuachie wenyewe
Kwakuwa mmekuja kuzisifia hapa tunalazimika kuzifakamia tu, hatuna namna[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kaka hizi mambo tuachie wenyewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , mi nanunua bike ingawa najua watataka gari[emoji3] [emoji3]Najua by the time nanunua gari madem watakuwa wanapenda ndege [emoji24][emoji24][emoji24]
Haaaahahahaha, shemejiiiiii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]gerezani kuna maneno
Jamaa mmoja alifungwa gerezani miaka 2 kwa kesi ya kumbaka ng'ombe sasa kila jumatano ni siku ya kula wali na nyama ya ng'ombe hapo ndo utawasikia wafungwa wakisema leo ni siku ya kula wali na shemeji_[emoji23][emoji23][emoji13]
Utani mbaya huo[emoji1] [emoji1]*Nikiwa nimechoka najiamulia tu kupiga simu police:*
*Mimi:* Hello afande nipo hapa naona watu kibao wamekufa...
*Afande:* Kiongozi tuambie mahali ulipo tuje sasa hivi...
*Mimi:*Nipo hapa makaburini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]News
Mtoto Wazimu alipanda juu ya mti wa mwembe asubuhi,akakaa juu hadi jioni kisha akajiangusha, daktari wao wa Madhare hospital akamuuliza "mbona umejiangusha? Wazimu akajibu "NIMEIVA"
Kumbe, vema mkuu niidhani mnaundugu naoMnyamwezi.....
Fanya hivyo mkuu lakini si tutaendelea kunyamaza tu[emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120]Hata mkinyamaza mimi kesho nitaamka mapema saa tisa za usiku niende nikojoe nirudi kulala[emoji3]
Kaa mbali na huyo mpenzi pesa, hamia kwa mpenzi pombe, atakupenda tuushawai penda mtu lakini yeye ata hatakangi
kuonekana mkiwa na yeye? Yaani anakuhepahepa tu!
ivo ndo relationship yangu na pesa iko sasa....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3]Ukiona Demu Kafika Ghetto kwako Kwa mara ya kwanza Af Hajipig Selfie Ujue Hilo sio Ghetto Ni [HASHTAG]#Zizi[/HASHTAG] la Ng, ombe [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji54]
Mpenzi pombe sio kabisaKaa mbali na huyo mpenzi pesa, hamia kwa mpenzi pombe, atakupenda tu