Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye hili sikuamini. Nina sababu zangu. Nimuulize pimbi?Hivi shem nishawahi kukudanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona huniamini leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walahi leo nimecheka sana
Sema basi tujueSio danga bhana
We nawe[emoji23]
Danga ni sponsor[emoji23][emoji23]
AbeeeeCarbamazepine
Hajui maana sahihi ya danga,mhenga huyo msaidieKwani na wewe DANGA
Wewe Danga au kibuzi?Hahaa, aisee! Good to know!
Mhenga anajua kidumu tu.Hajui maana sahihi ya danga,mhenga huyo msaidie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]So ina maana umepata sponsor anakutunza umenenepa mpaka nguo zinakubana inabidi ununue nguo mpya? Kama ni hivyo si umwambie tu huyo sponsor akununulie? Mbona tena unalalamika kuwa inaharibu bajeti yako?
Sponsor bhanaToa maana ya hilo neno kwanza basi. Wabongo bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unazingua !!!Hahaaaaaaa sponsor
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]you broke my heart[emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwenye hili sikuamini. Nina sababu zangu. Nimuulize pimbi?
Mbona nishasema jamani?Sema basi tujue
Abeeee
shemejiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Danga=mwanaume anayekulea si mume ni sponsor kwa jina jingine
Kudanga=kutafuta wanaume wa kukulea(ma sponsor)
Mdanga=msambwanda(hili neno nililisikia kwa rafiki zangu wakati nasoma)
Kweli kabisa kuna kitu niliona aisee nitakusimuliaMianasiasa na misiasa yao. Kuifuatilia misiasa na mianasiasa ni mwanzo wa kujipatia magonjwa ya moyo, depression na hata BP. Ndiyo maana watu wengi kwenye jukwaa la siasa utafikiri ni vichaa. Ni symptoms za msongo mkali wa mawazo...
Wewe Danga au kibuzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Non of the above! Mimi ni Yego all the way! [emoji23][emoji23]
Ha ha haSio sana.
Me nasubiri wahenga wa humu mfunguke.....