moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu mnaona kama ving'amuzi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu mnaona kama ving'amuzi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] duuu kumbe Dada uko vizuri.Aaah!wapi
Sijajiripua wala nini.
Mdanga ni msambwanda shem
Yaani shem niko ka kiroba cha unga kilo 50[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi hakuna mtu mjanja akausimamisha muda japo kwa muda tu ili tupate muda wa kupumzika na hii kasheshe ya kukimbizana na muda kila muda hata kama hakuna muda?
Kwa hiyo kunywa hiyo kitu kila siku ni sawa na kuji over dose?Dawa bora kwa minyoo...
Watu wana povu la kutisha hukoMianasiasa na misiasa yao. Kuifuatilia misiasa na mianasiasa ni mwanzo wa kujipatia magonjwa ya moyo, depression na hata BP. Ndiyo maana watu wengi kwenye jukwaa la siasa utafikiri ni vichaa. Ni symptoms za msongo mkali wa mawazo...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nyama ya hovyo kabisa hii. Utafikiri unakula karatasi...
Karibu hapa samaki samaki muda huu ule upendachoNapenda kula bata, kuku, ng'ombe na mbuzi pia
Eti ng'wanangwa. Samaki ananoga ukianza kumla kuanzia kichwani au mkiani? Au katikati?Karibu hapa samaki samaki muda huu ule upendacho