mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ouch!Familia ya marehemu Akwilina Akwiline inaendelea na maandalizi ya mazishi, huku ikielezwa kuwa Serikali imekubali kuyagharimia lakini si kutoa fedha.
Serikali imefikia hatua hiyo baada ya jana Februari 20,2018 familia ya Akwilina kueleza kuwa bajeti ya mazishi ni Sh80 milioni.
Katibu wa kamati ya mazishi Moi Kiyeyeu, ambaye ni kaka wa Akwilina amesema Serikali imewajibu kuwa haitawapa fedha taslim bali itagharimia vitu vilioorodheshwa katika bajeti ya mazishi hayo.
"Tulipotoa bajeti hatukuwa na maana kuishinikiza Serikali itoe fedha zote bali ilikuwa mahitaji ya msiba hadi pale utakapoisha. Tunashukuru Mungu kwa Serikali kuridhia kugharimia," amesema Kiyeyeu.
Sidhani, lakini anakumbukwa kwa harakati zake za kudai Uhuru wa Tanganyika. Pia ndiye aliyetoa shamba lake ijengwe hospitali kubwa ya Muhimbili na Shule za Muhimbili na Tambaza. MWENYEZI MUNGU AMUHIFADHI MAHALA PEMA PEPONIHuyu ni shehe ama
AiseeSidhani, lakini anakumbukwa kwa harakati zake za kudai Uhuru wa Tanganyika. Pia ndiye aliyetoa shamba lake ijengwe hospitali kubwa ya Muhimbili na Shule za Muhimbili na Tambaza. MWENYEZI MUNGU AMUHIFADHI MAHALA PEMA PEPONI
Hi Tembisa aka NumbisaWakati huohuo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amefika nyumbani kwa dada wa marehemu Mbezi Luis kuhani msiba.
Dk Mwakyembe amesema tukio la kifo cha Akwilina ni la kusikitisha.
Kumbe tuna baraka ya wazee wenye roho za kimalaika!Sidhani, lakini anakumbukwa kwa harakati zake za kudai Uhuru wa Tanganyika. Pia ndiye aliyetoa shamba lake ijengwe hospitali kubwa ya Muhimbili na Shule za Muhimbili na Tambaza. MWENYEZI MUNGU AMUHIFADHI MAHALA PEMA PEPONI
What game? Slay queening?
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] inadaiwa kwenye kampeni za ubunge mwaka furani wagombea wenzake walitimua mbio baada ya kupewa nafasi ya kuongea. Inadaiwa alipopewa mic aongee kwanza akalivua koti lake kwa madai ya joto, kisha akalitupa hewani kama kwamba analiweka kwenye msumari likanasa akapokea kipaza sauti.[emoji3] [emoji3] [emoji3] kufumba na kufumbua wagombea wenzake wakatimua mbio na kwenda kutangaza kujiondoa kwenye mbio za ubunge.Inasemekana ni kingunge wa ulozi....