moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sheikh wa Bagamoyo, alikuwa bega kwa bega na Mwalimu enzi za harakati za Uhuru. Alifariki miaka ya mwanzo ya 70. Watoto wake walikuja kuwa wabunge huko na kuweka makazi Dar. Upanga na Kariakoo mtaa wa Aggrey na Congo.Huyu si yule ambaye alikuwa akiishi Upanga? RIP.