ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
AiseeYap unajua nimesoma Tambaza
AiseeYap unajua nimesoma Tambaza
Ndiyo, hapo kwenye msikiti wa Tambaza na makaburi ya Tambaza ndiyo alipoishi marehemu mzee Jumbe Tambaza wa kabila la Mashomvi,wenyeji asili wa pwani ya Dar es salaamPale kwa Juu kidogo kama unaelekea Azania ukitoka Muhimbili primary kuna msikiti unaitwa wa Tambaza nafikiri eneo lote hilo lilikuwa lake