Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

079DD72D-397C-41B2-8A87-A6B459149BEC.jpeg
 
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] inadaiwa kwenye kampeni za ubunge mwaka furani wagombea wenzake walitimua mbio baada ya kupewa nafasi ya kuongea. Inadaiwa alipopewa mic aongee kwanza akalivua koti lake kwa madai ya joto, kisha akalitupa hewani kama kwamba analiweka kwenye msumari likanasa akapokea kipaza sauti.[emoji3] [emoji3] [emoji3] kufumba na kufumbua wagombea wenzake wakatimua mbio na kwenda kutangaza kujiondoa kwenye mbio za ubunge.
Hahahaha
Mzindakaya design uwiii
 
Back
Top Bottom