Sheikh wa Bagamoyo, alikuwa bega kwa bega na Mwalimu enzi za harakati za Uhuru. Alifariki miaka ya mwanzo ya 70. Watoto wake walikuja kuwa wabunge huko na kuweka makazi Dar. Upanga na Kariakoo mtaa wa Aggrey na Congo.Huyu si yule ambaye alikuwa akiishi Upanga? RIP.
Asee ametukuka Mwenyezi Mungu. Kwa kweli kwa huyu kiumbe Mwenyezi Mungu ameumba jamani
Hahahahhahhaha.Hahahahaha[emoji3] [emoji3] inadaiwa kwenye kampeni za ubunge mwaka furani wagombea wenzake walitimua mbio baada ya kupewa nafasi ya kuongea. Inadaiwa alipopewa mic aongee kwanza akalivua koti lake kwa madai ya joto, kisha akalitupa hewani kama kwamba analiweka kwenye msumari likanasa akapokea kipaza sauti.[emoji3] [emoji3] [emoji3] kufumba na kufumbua wagombea wenzake wakatimua mbio na kwenda kutangaza kujiondoa kwenye mbio za ubunge.
Clyst syks ripAbasi Syks RIP
Duuu, kumbe mzee wa liver anajifaidiaMimi pia kisura kwa hiyo hutakaa ufilisike hata siku mmoja, Pesa inajileta yenyewe, hakima, busara na maarifa zinanifuata!
Uko kwenye safe hands!
HahahahaDuuu, kumbe mzee wa liver anajifaidia
AMUN RASijakosea kuchagua hakika kuwa wewe ni mrembo najivunia kuwa nawe
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaha
Unaona ehh
Hahahaha walahi shkamoo Pesa
Dogo yupo vizuri. Miaka ya badaye atakuwa mwanasayansi mzuri maana anapenda kufanya utafiti[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yap unajua nimesoma TambazaSidhani, lakini anakumbukwa kwa harakati zake za kudai Uhuru wa Tanganyika. Pia ndiye aliyetoa shamba lake ijengwe hospitali kubwa ya Muhimbili na Shule za Muhimbili na Tambaza. MWENYEZI MUNGU AMUHIFADHI MAHALA PEMA PEPONI
Pale kwa Juu kidogo kama unaelekea Azania ukitoka Muhimbili primary kuna msikiti unaitwa wa Tambaza nafikiri eneo lote hilo lilikuwa lakeSidhani, lakini anakumbukwa kwa harakati zake za kudai Uhuru wa Tanganyika. Pia ndiye aliyetoa shamba lake ijengwe hospitali kubwa ya Muhimbili na Shule za Muhimbili na Tambaza. MWENYEZI MUNGU AMUHIFADHI MAHALA PEMA PEPONI
HahahahahaHahahahaha[emoji3] [emoji3] inadaiwa kwenye kampeni za ubunge mwaka furani wagombea wenzake walitimua mbio baada ya kupewa nafasi ya kuongea. Inadaiwa alipopewa mic aongee kwanza akalivua koti lake kwa madai ya joto, kisha akalitupa hewani kama kwamba analiweka kwenye msumari likanasa akapokea kipaza sauti.[emoji3] [emoji3] [emoji3] kufumba na kufumbua wagombea wenzake wakatimua mbio na kwenda kutangaza kujiondoa kwenye mbio za ubunge.
Taratibu basiDuuu, kumbe mzee wa liver anajifaidia
Hahaha, mkuu usiri utatoka wapi tena na mambo yenyewe tunayasikia hapa. Hongera zako kiongoziTaratibu basi