Kanda ya ziwa zilikuwepo nyingi tu ila siku hizi zimepunguaMkuu hizo ngoma uliziona wapi? Maana ni ngoma maarufu maeneo ukanda wa pwani za kumtakasa kinyamkera mwana wa shetani. Je zipo pia kanda hiyo?
MwanzaAtakuwa anamaanisha pande za mkoa wa Mara huko
Aisee Jamii ya kibantu mambo mengi yanafananaWilaya za Morogoro vijijini, Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mkuranga, Temeke, na maeneo kadhaa ya Dar yanayokaliwa na wenyeji, Dogori au Madogori ni Ngoma maarufu ya kumtukuza Shetani na uzao wake. Ngoma hiyo hupigwa usiku na kuendelea mpaka mchana kwa nia ya kumtibu mgonjwa anayesumbuliwa na shetani na jeshi lake. Kinyamkera, mwenembago, Ruhani nk. Ni ngoma tiba kwa Mira za maeneo hayo ingawa inaanza kupuuzwa
SawaAtakuwa anamaanisha pande za mkoa wa Mara huko
Mack dady Na dady mackWako wapi hawa wavulana wa zamani?
Ukerewe visiwani mkuuAtakuwa anamaanisha pande za mkoa wa Mara huko
YapKanda ya ziwa zilikuwepo nyingi tu ila siku hizi zimepungua
YopMwanza
Ni kweli mkuuAisee Jamii ya kibantu mambo mengi yanafanana
Asee, nashukuru kujua hiloKanda ya ziwa zilikuwepo nyingi tu ila siku hizi zimepungua
Gr8 kwa kweliHabari za Asubuhi wale mlio ukanda huu wa Afrika
Black Panther