Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Moud anataka kutulipisha pesa ndiyo tuione hiyo picha. Eti 50,000 kila anayekwenda PM duh! Naye naona ana elementi za Uchaga...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli
Mrs Kim Kanye
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata sie hatutaidownload tutaiangalia na kukausha kama hatujaiona hahahaa. Mwakaleli wetu ataiweka kwenye fremu vizuri kwa ukumbusho
Loo, mikao gani tena hii!!!
Mtoto wa Kim miaka kumi ijayo
Mwakaleli sijamuona humu siku kadhaa. Pamoja na mkewe/shemeji. Sijui wako wapi....Hata sie hatutaidownload tutaiangalia na kukausha kama hatujaiona hahahaa. Mwakaleli wetu ataiweka kwenye fremu vizuri kwa ukumbusho