[emoji15][emoji15][emoji134]♂️[emoji134]♂️
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu kawazimisha wangapi hapa?Angalia uzije ukazimika kama yule Kibonge. Demiss huwa anazimisha. Shauri yako...!!!
Waje wamuone malkia, mchana nilipokea maombi toka kwa andjul na ho chi minh wameomba promise ya kumuona[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu, unajua utapiga pesa balaa? Ni nani asiyetaka kunwona Malkia hapa?
Waje wamuone malkia, mchana nilipokea maombi toka kwa andjul na ho chi minh wameomba miadi ya kumuona[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu, unajua utapiga pesa balaa? Ni nani asiyetaka kunwona Malkia hapa?
Waje wamuone malkia, mchana nilipokea maombi toka kwa andjul na ho chi minh wameomba miadi ya kumuona[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu, unajua utapiga pesa balaa? Ni nani asiyetaka kunwona Malkia hapa?
Kwa kweli Wamimbiki inashambuliwa sana na majangiri, wangeziunganisha kama walivyofanya kwa Usangu Game reserve na Ruaha National Parks. Hii ingesaidia hata kuongezeka kwa wanyama upande huu wa wami na hivyo kuongeza mapato ya utaliiHifadhi ya Taifa ya Saadan inakabiliwa na upungufu wa pundamilia na swala kutokana na wanyama hao kuuawa na majangiri wanapokwenda kwenye Hifadhi ya Wami Mbiki kwa ajili ya kuzaliana.
Hayo yameelezwa leo Ijumaa Februari 23, 2018 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla alipofanya ziara hifadhi ya Saadan iliyopo Wilaya ya Bagamoyo na Pangani kwa lengo la kuona hali ya utalii katika hifadhi hiyo.
Ni pale alipomsaliti kijana Cole upande mmoja na nsamaka upande mwingine. Yani zama zile anaongoza team kivuruge[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu, tulianzaje kumuita Muungwana sana Andjul? Au umesahau?
HahahhaNi pale alipomsaliti kijana Cole upande mmoja na nsamaka upande mwingine. Yani zama zile anaongoza team kivuruge[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe hata wewe uliweka hako kadudu upate matiti!!! Unaoje ipo haja ya kukaweka tena sasa au umetosheka na uliyonayo?Mm pia mmojawapo nilkuwa nafanya hako kamchezo
Imebidi nifuatile story. Umenikumbusha mbali sana enzi za shule ya msingiJina maarufu la huyu ni fukufuku. Nakumbuka kulikuwa na uzi humu kuhusu mdudu huyu na wasichana na kumuweka kwenye chuchu zao ili matiti yakue.
Hahhahahaha[emoji3] [emoji3] jamani utani huu malkia atuvumilie tu,Jamani eeh. Utani huu naomba ukome sasa ohooo. Mtakuja kunifanya nitiwe kwenye ignore list bure. Na kutoka huko ni kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️