carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]tafadhali sana.A yu siriazi? Ngoja nimuombe Andjul atuwekee ushahidi hapa
Nitakuwa shahidi wa mwisho maana nimesahauWe nawe umetokea wapi??[emoji23][emoji23]
Hebu waambie kama mimi ni kibibi maana wanakazana kuniita andaeitini
Aaah!wapiMitetemo ya sauti yako inaendana na umri wako....
Numbisa hajui hata salamu. Ukimwambia "Ng'wangaluka bageshi" anakukodolea macho tu. Ni kukulia mjini tena kwenye familia zenye uwezo na wazazi wasomi.Afadhali hata wewe una cha kuibia...
Wa kwangu ni bure kabisa...
Hahahaa uzi murua wenye burudan za kila ainaHalafu nikichelewa tu kwenda kulala utasikia "Dadi kalale kesho utaumwa". Yaani mpaka raha...
Unakumbuka siku ile ulinicheka nilipojifukuzisha mwenyewe? Uzi huu naupenda!!!
Yaani hapo mwanzo kushoto na wa pili kutoka kulia kwangu naumwa kabisaaaa...Andjul, twende tukawasalimie hawa wapendwa. Ai emu shua zei needazi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pimbi in da hausi....We nawe umetokea wapi??[emoji23][emoji23]
Hebu waambie kama mimi ni kibibi maana wanakazana kuniita andaeitini
Uzuri ukishapiga balimi zako tu,kichwa kinakuwa kichafu zaidiNitakuwa shahidi wa mwisho maana nimesahau
Jifunze uje uwafunze na wanao. Ni muhimu sana !!!Na hiyo ndo sababu kwakweli.
Enzi za mama alikuwa anaongea japo kwa kuokoteza na yeye ila hawa waliobaki kama mimi tu.
Lugha ishanipita hiyo
Mie zaidi ya bure,bibi yangu alipenda kunisemesha kilugha nikawa namjibu kiswahili tena lugha gonganaYaani kama mimi ni bure kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukoo utanihurumia tu kwakweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pimbi in da hausi....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] kama kuna mtu anatafutwa vileee...Aliyechafua akili yangu anirudishie kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 700812
Najua bana unaitikia wamisha mholaa kineheee ja kukaya hahahahahaNumbisa hajui hata salamu. Ukimwambia "Ng'wangaluka bageshi" anakukodolea macho tu. Ni kukulia mjini tena kwenye familia zenye uwezo na wazazi wasomi.
Kukataa hakufuti aliesikia.....[emoji3][emoji3]Aaah!wapi
Nakataa
Shida huyo wa kunifunza,hayupo.Jifunze uje uwafunze na wanao. Ni muhimu sana !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huoni kama kaitwa "dadiii" Ama jeuri yako tu ya kikoromije?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeliona hilo kaburi lilivyonakshiwa kwa ustadi wa ajabu kwa nje nikaamua kulifukua. Sorry...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Shimba una nini lakini?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]