myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kisifeeee...BAK,SYB na ho chi minh chama kinawategemea hiki...Mwenyekiti wetu ametusaliti. Muone na masaksafoni yake. Chama kishakufa hiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewatia kwenye oven. Sijui wana hali gani huko. Kuwachemsha aisee ningechemsha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mkoromije jeuri kabisa.Saksafoni langu linahusikaje hapa????Ha
hahahahahahahhahahha eti na masaksafoni
Jirani jirani jirani.....Sijakwazika wala sijakereka na hizo picha.
Me nilijibia comment iliyotumwa na niliijibia kwa wakati ule nilivyosema mjaribu kuounguza kuzituma mida ya mchana.
Mlivyoanza kutuma usiku tu mlinisikia nimelalamika?
Halafu mbona naonekana kama ni miminpekeyangu niliyelalamika?
Jamani kila mtu afanye kile anaona moyo wake unapenda.
Mimi sikwaziki narudia tena SIKWAZIKI na hizi picha.
Tumeni tu.
Kama kuna mtu amekwazika na hiyo kauli(ambayo haijasemwa leo ni siku nyingi zimepita)basi ANISAMEHE,sipendi kuwa kikwazo kwa watu.
Pole jirani. Siku zote hazilinganiNaona kama jambo limekuwa kubwa sijui kwanini.
Halafi yaonekana kama mimi ndo nimelisema.
Nimeumia ndio mana.
Nimefikiria kuwakaanga nikaona nitaunguza nyumba. Nimewapaka paka mafuta nikawatia chumvi na kuwatia kwenye oven (Bake nyuzi 345 F). Bado wako vile vile though...Heee samaki moja kwa moja kwenye oven!!? Aaiseeee wakitoka tuone hali zao
[emoji106][emoji106]ASANTE mkuu. Ni tabia yangu kusikiliza maoni ya wengine pia hasa kama ninawajali, kuwapenda na kuwaheshimu. Trust me, najua ninachofanya....
Mkuu tupia tu ndio raha ya uzi huu post chochote upate likes lakini sio lugha chafu wala picha chafuNadhani alisema zisitumwe wakati wa mchana; na tulimsikiliza. Hata mida yetu ya wanga kumbe hazitakiwi? Picha nyingi ni za mabinti wako beach mchana kweupe wakifurahia maisha na hata leo nikienda beach hapa nakutana nao. No big deal.
Kama hazitakiwi kabisa hapa katika muda wo wote semeni. Na CHAWAMITA tukiue kifo cha mende.
Wakuu BAK na Ho Chi Minh mnasemaje kuhusu hii ishu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mkoromije jeuri kabisa.Saksafoni langu linahusikaje hapa????
Halafu jana nilimuomba Demiss nikazimie kwake,hata sijui yuko wapi leo!!!!
Amun RaWeken usiku,carba alilalamikia zile za mchana ila usiku ruksa.
Msipoweka uzi utadorora bana kuna wengi wanawafatilia na kuona uumbaji murua hata kama hawakoment au ku like ila wanapensa kazi zenu.
Usiku ni muda muafaka wandugu
HahahahahaIla usiku si mbaya mwenyekiti mwenye chawamita unakaribia kuua ka chama kako mwenyeweee,uwe unawekapo na wewe haha
Hahahahah eti utaunguza nyumba,daah nataman wageuke keki saiv wangekua wameshaivaNimefikiria kuwakaanga nikaona nitaunguza nyumba. Nimewapaka paka mafuta nikawatia chumvi na kuwatia kwenye oven (Bake nyuzi 345 F). Bado wako vile vile though...
Mkuu Mimi naomba niwe fair kwenye hili hata Mimi na my goddess ISIS nafikiri kuna picha tuna post labda zinawakwaza watu lakini hawasemi lakini ndio raha ya Uzi huu stress free zone kinachotakiwa no matusi no picha chafu nikisema picha chafu sio zile mnazotuma zinaeleweka hope wote tumeelewana muwe na Jumapili njema kajoto ka kutosha hapa HandeniLakini hizi zinazolalamikiwa niliziweka mwenyewe na niko very careful kutovuka kiwango cha maadili. Niliziweka saa tisa usiku. Na still kuna malalamiko...
Tujadilianeni tu tufikie muafaka kwa sababu hakuna haja ya kuwa tunakwazana wapendwa. Ndiyo maana nimewaita na wenzangu BAK na Mchina nao waje watie neno....
HahahahahaMoudgulf ndiyo unatuchomea mkuu. Watu hawapendi hizi picha mchana. We ndiyo kwanza umekazana kufukua makaburi ya mida ya wanga. Achana nazo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Well said my princessKidogo nikuite mkuu hahahaa,nimeangalia chanzo nimekuta ni comment ya moud kisha andjul akaiquote,hivi kwann moud akisema ndo kama kaongelea wengi?kuna kipind alikwambia upunguze mapicha picha na kweli ukapunguza kipind hicho ulikua koromije. Saiv kakoment tu andjul katania umeichukulia serious,mie naona sio kosa lako maana picha umeiweka usiku so kosa ni la aliyeiquote mchana na kukoment yake bora ange like na kuipita bila kuquote
Be freee bana,maoni ya watu muhimu ila sio yote ya kusema uyafanyie kazi. Usiku ni muda muafaka wa hizo picha.
Kuwa kama ruta,anamwaga picha zake weeee na hasikilizi malalamiko ya watu bali anafanya kile akionacho yeye ni sahihi
Mkuu mkuu tupia bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi mwenyewe napenda hizo picha lakini my Queen usione hii postHizi zinazolalamikiwa mbona ziliwekwa mida ya wanga? Kila mtu yuko huru kuweka anachotaka hapa lakini pia ni muhimu kutokwazana and I am sensitive to that. Huwa sipendi kuumiza/kukwaza watu maishani mwangu. Mbona mambo ya siasa na dini tumekubaliana na kwa kiasi kikubwa ni kama tumefanikiwa? Kuishi na wenzetu vizuri ni pamoja na kusikilizana nao. Ndicho ninachofanya hapa shemeji japo uhuru niliounyakua kwa Numbisa ninao...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]