Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amun Ra
 
Naona kama jambo limekuwa kubwa sijui kwanini.
Halafi yaonekana kama mimi ndo nimelisema.
Nimeumia ndio mana.
Atakuja hapa na nyimbo zake za ajabu ajabu. Hata hutaelewa anasema nini....
Huu mjadala kwangu umeishia hapa.
Muwe na mchana mwema wapendwa.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] cheneeekeeee....
[emoji79] [emoji79] [emoji79] [emoji79] Emudiiiiii.... Emudiiiiii...
Mweeeee...
[emoji124] [emoji124] nimelianzisha mwenyewe.. tadandaaa... Nimelikoroga mwenyewe...
Wacha nizodolewe eeee...
Mwee carba!!!
Resti ini pisi mimi mwenyewe jamani
 
Mkuu,wewe umezitupia usiku,huku zinafukuliwa mchana zinavyo sifiwa na watazamaji wengine...
Muhimu ni sisi watazamaji tusizifukue picha kwa mchana...
Kwa mimi sio tatizo maana inanipunguzia kwenda sokoni kuchungulia midude...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Go to ............[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carba malizia sentence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…