Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United imerudi katika nafasi ya pili baada ya Jesse Lingard kuwapa ushindi kwenye mechi kali dhidi ya Chelsea huko nyumbani Old Trafford.
Iliwalazimu Manchester United kufanya kazi ya ziada baada ya William kuiweka Chelsea kifua mbele kipindi cha kwanza.
Baada ya mapumziko United walijipanga ambapo Romelu Lukaku alimtangulia Marcos Alonso nakuisawazishia Manchester na kuwa bao lake la kwanza dhidi ya klabu yake ya zamani.
Lukaku kwa mara nyingine tena akampa Lingard mpira msafi zikiwa zimesalia dakika 15 mechi ikamilie na bila kuchelewa akasukuma wavuni.
Chelsea watabaki katika nafasi ya tano baada ya Tottenham kuwashinda Crystal Palace 1-0 mapema leo.
 
Hapana Numbisa BAN zangu chanzo ni kutumia haya maneno mawili DIKTETA UCHWARA. Kwa mshangao wangu bado natumia na wengi kule siasani nawaona wengi wakitumia maneno hayo mawili lakini hawapigwi ban.

 
Hakuna kitu kama hicho my love you're safe in my hands
Ni utani tu wapendwa. Msije mkachukulia siriazi. Hata kama ningekuwa nayo, so what? Tu familia sasa na hakuna hata sababu ya kuogopana hivi. Nikipita DOM kama utakuwepo usije ukanikimbia kama alivyofanya Numbisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…