mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha point lakiniModsnao si wanaume wale wale wakiona msabwax na raman ya noniino wanasahau kubonyeza button ya ban wanabaki kufurahia uumbaji
Just imagine BAK tangu uanze tupia hizi picha picha kale ka mchezo ka kukupiga ban kila wiki kameisha kabisaaa maana wanajua watakosa uhondo hahahaha
AminMungu atupe afya na upendo
Hapa bhana Mourinho alichemka kumsajili huyuKiungo wa kati mfaransa Paul Pogba yuko tayari kuondoka Manchester United ikiwa meneja Jose Mourinho ataendelea kuwepo Old Trafford. (Sun on Sunday)
Safi mkuuHabari za asbh Watanzania
NdiyoMonday
[emoji111] [emoji111]Jumatatu
Kubaki Barca ilikuwa ndio chaguo zuri kabisa lakini naona pesa PSG zilimzuzua sanaHalafu hana kipaji kama ronaldo mie naona neyma anabebwa mno na media lakini habebeki
Mkuu karibu sanaNi utani tu wapendwa. Msije mkachukulia siriazi. Hata kama ningekuwa nayo, so what? Tu familia sasa na hakuna hata sababu ya kuogopana hivi. Nikipita DOM kama utakuwepo usije ukanikimbia kama alivyofanya Numbisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iron ladySridevi alitajwa kuwa mmoja wa wasanii wachache wa kike waliopata mafanikio makubwa bila ya msaada wa wanaume.
Kubwa la maaduiKifo cha Sridevi kinakuja ikiwa ni miezi miwili imepita tangu mjomba wake ambaye alikuwa ni moja ya waigizaji nguli wa filamu nchini humo, Shashi Kapoor aage dunia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]