Uwiiiii mbona nae mkorogo kwa sana,zile picha ana.edit balaa akiwa hana edit utamkimbia halafu wote hao uliowataja wauza mikorogo wakubwa.Hata hivyo sasa hivi ukiangali unaona makeup zinaanza kuacha ngozi.
Maimatha na director joan do walikuwa mashosti zake kipindi kile.
Ila mwangalie director joan hata hajajichubua kama huyu bibie.
Sasa ukute siku hio ana bifu ma dereva safari inakua fupi full kurushiana vijembeHahahahahahaha ila makonda huwa wanafurahisha sana, unaweza kuwa hata umenuna lakini wakianza viswahili vyao kuongea na wasafiri ukajikuta unacheka.
Raha ni nyingi karaha ni chacheDar es salaam ni jiji la karaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Umechelewa mkuu. Zimeisha jana jioni....