Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inaendelea salama kabisa Mupenzi wangu
Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120] Za kwako baby?
Sijambo. Kimvua mvua hapa. Kibaridi cha aina yake. Madirisha yako wazi. Kikombe cha tangawizi ya moto mkononi. It is a wonderful privilege that I am alive and healthy on this beautiful day. Wish you were here. Hali ya hewa shawishi balaa [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
 
Mmmh eeti " sis" na mabano kabisa sitaki mie ita vingine kaaa na sis yako
Jana we si ulililia kuitwa sis jamani? Naona hata Carba naye hataki. Haya basi nitaacha jamani. Bageshi itafaa? Baby je? Au nitwange Numbisa tu?

===>(Sis ni kinyume cha bro. Sasa sijui tatizo liko wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
 
Weeee!!

Yaani mimi carba uniite sis halafu niitikie[emoji23][emoji23][emoji23]

Niite hata mkuu kwakweli lakini siyo sis
Uuuwiii!!!
Nitahama uzi walahi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesharudi kwenye shemeji kipenzi darling...

Ila ningependa kujua, sis (kinyume cha bro) ina ubaya gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…