carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hali ya hewa shawishi kwa kilimo cha maparachichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante shemeji kipenzi
Ngoja nikalale sasa
Usije kunifunika...
Kuna baridi sana na kimvua kinanyesha tangu asubuhi...
Haitakuwa vizuri...
Mungu Aendelee kutulinda na kutubariki...
Aaaaameeeen.....[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hali ya hewa shawishi kwa kilimo cha maparachichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya shem darling..
Uwe na usiku mwema na malaika wa Mungu wakulinde[emoji120][emoji120][emoji120]
Kanda ya ziwa zipo kila siku[emoji2] [emoji2] [emoji2] , ndo kwanza zimeanza.
Muone !!! Valentine wiki nzima umefichwa visiwani si ajabu mapacha waliopandwa wapo wanamea sasa hivi. Novemba mavuno !!!
No ile ilikua jumatano ya majivu no valentine at allInawezekana ikawa kweli[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Good morning jakitoo
Ndo wapi hukooo?
Hahahahha nawe piaaa[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Ijumaa njema! [emoji124][emoji124]