Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh sasa wenye ajira rasmi wanachezaje kama muda wote ni kushinda unakodolea macho vifaa vya electronic na wao ajira si zitaota nyasi
Kuna watu wanaofanya kazi huko maofisini kweli? Watu si wanakuwa IG, FB, JF na kwingineko hata kama wako kazini? Si afadhali angalau hawa wanaopiga hela badala ya ubuyu?
 
Kuna watu wanaofanya kazi huko maofisini kweli? Watu si wanakuwa IG, FB, JF na kwingineko hata kama wako kazini? Si afadhali angalau hawa wanaopiga hela badala ya ubuyu?
Mmmh pesa za presha hapana sema kweli bora umnea huku ukiwa na ajira yoyote,forex naiona kama ku bet tu hasa kwa wasiofahamu kitu ndo kabisaa kila siku malalamiko ya kuliwa pesa
 
Mmmh pesa za presha hapana sema kweli bora umnea huku ukiwa na ajira yoyote,forex naiona kama ku bet tu hasa kwa wasiofahamu kitu ndo kabisaa kila siku malalamiko ya kuliwa pesa
Masihi wao hakusema ukweli. Alivyoielezea unaweza kufikiri hela zipo nje nje kumbe inahitaji weledi mkubwa wa kuelewa mambo mengi kwa pamoja na kuyasynthesize halafu usome usome sana kila wakati huku ukiwa attentive 24/7. Na mwanzoni pale ni lazima utapoteza tu. Wengi naona wamejaribu wakapigwa sasa wanarudi kumuita masihi tapeli. Always za kuambiwa ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…